Tabianchi na Hali ya hewa
Moduli hii inatoa muhtasari wa kina wa mabadiliko ya hali ya hewa , sababu zake za msingi, na athari zake za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja kwa mazingira ya ndani na kilimo. Inaangazia changamoto mahususi zinazokabili secta ya kilimo ya Tanzania kutokana na kutofautiana kwa hali ya hewa na kueleza faida za uelewa wa hali ya hewa kwa wajasiriamali wadogo na wa kati katika kukubaliana na mabadiliko ya hali ya hewa.
